Entries by deborah01

Mourinho na Jopo la washauri

Club ya Man United katika mechi zake za hivi karibuni za mwanzo wa msimu zimeanza kwa wao kutokupata matokeo chanya katika baadhi ya mechi, kiasi cha kuanza kuleta tetesi kuwa kocha wao Jose Mourinho anaweza akafutwa kazi na nafasi yake kuchukuliwa na Zidane. Man United kwa sasa wanajiandaa na mchezo wa UEFA Champions League dhidi ya Valencia hivyo kocha wao Mourinho, ameamua kuweka wazi mpira jinsi […]