Entries by deborah01

Mahmoud Abbas lambasts Trump’s decision on Jerusalem

Mahmoud Abbas has lambasted the US decision to recognise Jerusalem as Israel’s capital, saying the Palestinian leadership refuses to acknowledge President Donald Trump‘s contentious move. Calling Jerusalem the “eternal capital of the State of Palestine”, the president of the Palestinian Authority said on Wednesday the US could no longer be a mediator in Israeli-Palestinian peace negotiations. His comments were […]

Construction of six lane highway to start by end of this month

CONSTRUCTION works on the six-lane 16-kilometre road from Kimara in Dar es Salaam to Kibaha in Coast region is scheduled to start by the end of this month. Tanzania Roads Agency (TANROADS) Chief Executive Officer (CEO) Engineer Patric Mfugale, speaking to the Minister of Works, Transport and Communications, Professor Makame Mbarawa during his tour of […]

Mfumo wa kodi kufumuliwa

SERIKALI imesema iko tayari kupokea mapendekezo ya kuboresha mfumo wa kodi na usimamizi wake katika taifa ili kuchangia maendeleo endelevu ya kiuchumi na kijamii. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Phillip Mpango alisema hayo jana mjini hapa kwenye mkutano wa kujadili mchango wa sekta binafsi kwenye sera ya bajeti ya mwaka 2018/2019. Alisema serikali iko […]

Embrace locals in pipeline project, JPM tells Total

PRESIDENT John Magufuli has urged the French oil and gas conglomerate, Total, which is the leading investor in the Hoima- Tanga crude oil pipeline, to work jointly with local contractors and manpower in all the 24 districts where the conduit will pass through in Tanzania. “Tanzania has adequate as well as experienced contractors and engineers […]

Marekani Kumuonya Odinga

Marekani imemtaka kiongozi wa upinzani nchini kenya Raila Odinga kuacha mpango wake wa kuapishwa kama raisi wan nchi hiyo wiki ijayo. Odinga aliwasilisha Malalamiko juu ya mapungufu katika uchaguzi mkuu uliopita na kusababisha uchaguzi wa marudio ambapo Uhuru Kenyata alishinda kwa kura nyingi. Msaidizi wa katibu wa masuala ya Afrika Marekani , Donald Yamamoto ambae […]

Trump ameutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel

Rais Trump amefanya maamuzi ya kihistoria ya kuipindua sera za miaka mingi ya Marekani kwa kuutambua mji wa Yerusalem kuwa ndio mji mkuu wa Israel. Rais huyo pia ametangaza kuwa Ubalozi wa Marekani utahamishwa kutoka katika eneo la sasa la Tel Aviv kwenda Yerusalem. Amesema kuwa uamuzi huu haulengi kujiondoa kwa Marekani katika juhudi zake […]

Mwigizaji nyota wa Bollywood Shashi Kapoor afariki dunia

Mwigizaji mkongwe wa Bollywood Shashi Kapoor amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79. Kapoor, aliyeigiza katika filamu maarufu kutoka India kama vile Deewar na Kabhie Kabhie, amekuwa akiuguza kwa muda na alikuwa amelazwa hospitali. Shashi anatoka familia ya Kapoor ambayo imetawala tasnia ya filamu za Kihindi kwa miongo mingi. Alishinda tuzo nyingi za filamu […]

Trump kuutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel

Maafisa wa serikali ya Marekani wamesema kuwa rais Donald Trump, leo atautambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel. Ikulu ya White House imethibitisha kuwa rais Donald Trump pia atazungumza kuhusu juu ya kutangaza rasmi kuhamishia kwa ubalozi wa Marekani Jerusalem. Kwa mujibu wa msemaji wa ikulu ya white house sarah sanders amesema kuwa […]

Chelsea 1-1 Atletico Madrid

Eden Hazard says Chelsea do not fear facing Paris St-Germain or Barcelona in the Champions League last-16 after his side were held to a draw by Atletico Madrid and missed out on top spot in their group. As it stands, Turkish side Besiktas are the only other possible opponents for the Blues in the knockout […]

Diallo aitaka Serikali kutoingilia uchaguzi CCM

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo, ambaye mwishoni mwa wiki alipekuliwa na maofisa wa Takukuru, ameitaka Serikali kutoingilia masuala ya uchaguzi wa chama hicho, badala yake iangalie na kuwaongoza wanapokosea. Diallo alitoa kauli hiyo juzi usiku wakati akiwashukuru wajumbe wa CCM waliomchagua kwa mara nyingine na kusema umefika wakati chama kitafute utaratibu mahsusi […]