Entries by deborah01

Social security fund members reassured

PRESIDENT John Magufuli yesterday clarified on the government’s decision to merge pension funds in the country, assuring workers that their benefits won’t be affected. The President said the government arrived at the decision in order to increase efficiency in the social security sector and improve the welfare of the members. “Nothing will be deducted from […]

Buriani: Wanajeshi wa Tanzania waliouawa DRC waagwa rasmi Dar es Salaam

Hafla ya kuwaaga wanajeshi 14 wa Tanzania waliokuwa walinda amani wa Umoja wa Mataifa waliouawa nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo imefanyika jiji Dar es Salaam. Wanajeshi hao waliuawa baada ya kupigana na waasi kwa muda wa saa 13 kufuatia waasi hao kuishambulia kambi yao. Sherehe hizo zimefanyika kwenye makao makuu ya jeshi la ulinzi […]

Chelsea wapewa Barcelona Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya

Chelsea wamepangwa kukutana na Barcelona hatua ya 16 bora katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya, Tottenham nao wakapewa mabingwa wa Italia Juventus baada ya droo kufanywa. Viongozi wa Ligi ya Premia Manchester City watakutana na FC Basel ya Uswizi, Manchester United wakutana na Sevilla wanaocheza La Liga nao Liverpool wakutane na FC Porto ya Ureno. […]

Trump matatani ukatili wa kijinsia

Wanawake watatu wamemtuhumu rais Donald Trump kwamba aliwafanyia ukatili wa kijinisa miaka iliyopita kabla hajawa rais.Hivyo baraza la Congress kumchunguza trump kutokana na kashfa hizo. Wanawake walioibua kashafa hiyo dhidi ya Rais Trump ni Jessica Leeds, Samantha Holvey, na Rachel Crooks wamesema kuwa rais Trump bila ridhaa yao alikuwa akiwa shika shika,kuwabusu kwa nguvu na […]

Court fixes date for ruling on former UVCCM leader bail

The Dodoma Resident Magistrate’s Court is expected on December 19, this year to rule on whether the immediate former CCM youth wing (UVCCM) national chairman, Mr Sadifa Juma Khamis, who is facing corruption charges, should be granted bail. The decision was issued after the prosecution submitted an affidavit opposing Mr Khamis’ bail under grounds that […]

Dagaa Ziwa Victoria kulisha nchi tano

WITO umetolewa kwa wafanyabiashara kutoka nchi za Kenya, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Zambia, Malawi na Uganda kujitokeza kununua dagaa waliofurika katika Soko la Samaki Kirumba Mwaloni, jijini Mwanza. Ziwa Victoria lipo katika nchi tatu za Tanzania, Kenya na Uganda, lakini Tanzania ikiwa na eneo kubwa la ziwa hilo, asilimia 49. Kenya ina asilimia […]

Aliyesamehewa na Rais Magufuli anena

Rais John Magufuli alishangaza wengi alipotaja jina la mfungwa aitwaye Mganga Matonya, mwenye umri wa miaka 85, wakati akitangaza msamaha kwa watu 61 waliohukumiwa kunyongwa na mmoja aliyekuwa na kifungo cha maisha. Haikuwa kitu cha kawaida kwa mkuu wa nchi kutaja jina la mfungwa, lakini ni mwendelezo wa maajabu yaliyowahi kumkuta Matonya katika maisha yake […]

State says intends to retake idle Tanga sisal plantations

THE Deputy Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development, Ms Angellah Mabula, has directed the Tanga regional leadership and land commissioner seven days within which to prepare and submit to her, a report on all undeveloped farms in the region, for initiation of repossession procedures. The move had been prompted by failure by investors […]

Shakhtar Donetsk 2-1 Manchester City

Manchester City lost for the first time in 29 matches as Ukrainian side Shakhtar Donetsk won to join City in the last 16 of the Champions League. A much-changed City, who had already secured top spot in Group F, fell behind when Brazilian Bernard curled a shot past Ederson from 15 yards. Shakhtar doubled their […]

Magufuli mourns former Taifa Stars coach Bendera

FORMER national soccer team, Taifa Stars Head Coach, Joel Bendera is no more. According to the Muhimbili National Hospital (MNH) Head of Communications, Aminieli Aligeisha, Bendera died at around 4:20 pm yesterday, while undergoing treatment at the Intensive Care Unit (ICU). Aligaeshi said the late Bendera was admitted at the hospital yesterday afternoon where he […]